Difference between revisions of "Cascading Style Sheet (CSS)/sw"

From Joomla! Documentation

(Importing a new version from external source)
 
(21 intermediate revisions by the same user not shown)
Line 2: Line 2:
 
{{Chunk:Cascading Style Sheet (CSS)/sw}}
 
{{Chunk:Cascading Style Sheet (CSS)/sw}}
  
==Additional Information==
+
==Maelezo ya Ziada==
Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheets, CSS) ni unaotumika zaidi kwa lugha ya lahamtindo katika wavuti wote wa dunia mzima, na imewekwa sawasawa na [[sw.wp:W3C|World Wide Web Consortium(W3C)]] na unaweza kutumika kwa mitindo wa aina yoyote kwa hati ya XML, pamoja na HTML, SVG na XUL.
+
Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheets, CSS) unatumika zaidi kwa lugha za lahamtindo katika wavuti wote wa dunia, na umewekwa sawa sawa na [[sw.wp:W3C|World Wide Web Consortium(W3C)]] na unaweza kutumika kwa mitindo ya aina yoyote kwa hati ya XML, pamoja na HTML, SVG na XUL.
  
Uliofahamishwa kwa kurahisisha migawanyo ya yalioyomo (yalioandikwa na XML markup) na utoaji (ulioandikwa na CSS) wa mahati. CSS inaweza kutumika kwa kufafanua na kubadilisha karibu sura zote za hati, kama rangi, ukubwa/aina ya fonti, njia za maandishi, ukubwa/nafasi ya maelementi, na kadhalika.
+
Uliofahamishwa kwa kurahisisha migawanyo ya yalioyomo (yalioandikwa na XML markup) na utoaji (ulioandikwa na CSS) wa mahati. CSS unaweza kutumika kwa kufafanua na kubadilisha karibu sura zote za hati, kama rangi, ukubwa/aina ya fonti, njia za maandishi, ukubwa/nafasi ya maelementi, na kadhalika.
  
CSS pia unaweza kutumika kwa kusitawisha mapatikanaji ya mahati. Na inapeana ujanja kwa kuonyesha XML markup sawa kwa njia tofauti, imeboreshwa kwa bidhaa tofauti, kama wasomaji wa skrini, visakuzi vinavyosema, maprinta, na bidhaa za hisi ya mashiko (Braille kwa wasioona).
+
CSS pia inaweza kutumika kwa kustawisha upatikanaji wa mahati. Na unapeana ujanja kwa kuonyesha XML markup sawa kwa njia tofauti, umeboreshwa kwa bidhaa tofauti, kama wasomaji wa skrini, visakuzi vinavyosema, maprinta, na bidhaa za hisi ya mashiko (Braille kwa wasioona).
  
==Core Joomla! CSS==
+
==CSS ya Ukuu wa Joomla!==
Joomla provides many class- and id-attributes in its HTML output, which can be used to alter its presentation through the use of CSS definitions for said classes and ids.
+
Joomla inapeana sifa nyingi kwa madarasa na vitambulisho katika pato la HTML. Zinaweza kutumika kwa kubadilisha mawakilisho kupitia mafafanuo ya CSS kwa madarasa na vitambulisho kama ilivyosemwa.
  
* [[List of Joomla! generated core CSS classes]]
+
* [[S:MyLanguage/List of Joomla! generated core CSS classes|Orodha ya Madarasa ya Kiini cha CSS Yaliotengezwa na Joomla!]]
  
* [[Core module-generated CSS]]
+
* [[S:MyLanguage/Core module-generated CSS|CSS ya Kiini kilichotengezwa na Moduli]]
  
* [[Core module chrome CSS]]
+
* [[S:MyLanguage/Core module chrome CSS|CSS ya chrome ya moduli ya kiini]]
  
* [[Joomla 1 6 core css classes and ids]]
+
* [[S:MyLanguage/Joomla 1 6 core css classes and ids|Madarasa ya kiini na vitambulisho vya Joomla 1 6]]
  
[[Category:Glossary]]
+
[[Category:Glossary/sw|Glossary]]

Latest revision as of 04:29, 8 May 2014

Other languages:
Bahasa Indonesia • ‎Deutsch • ‎English • ‎Kiswahili • ‎Nederlands • ‎Türkçe • ‎català • ‎español • ‎français • ‎italiano • ‎български • ‎русский • ‎हिन्दी • ‎中文(台灣)‎ • ‎日本語

Lahamtindo wa kuachia au CSS unatumika kwa kudhibiti onyeso la ukurasa kwa XHTML. Kwa mfano, faili za CSS kila mara zinadhibiti fonti, pembezote, rangi, grapfiki za usuli, na mambo mengineo ya kurasa za wavuti. CSS ziitakuruhusu kutofautisha yaliyomo ya ukurasa wa XHTML kutoka na kuonekana. Katika Joomla!, mafaili ya CSS (kwa mfano, templeti ya.css) kwa kawaida ni sehemu ya templeti.

Angalia pia: Templeti, Suffix ya Darasa la Ukurasa, Suffix ya Darasa la Moduli

Maelezo ya Ziada

Lahamtindo wa Kuachilia (Cascading Style Sheets, CSS) unatumika zaidi kwa lugha za lahamtindo katika wavuti wote wa dunia, na umewekwa sawa sawa na World Wide Web Consortium(W3C) na unaweza kutumika kwa mitindo ya aina yoyote kwa hati ya XML, pamoja na HTML, SVG na XUL.

Uliofahamishwa kwa kurahisisha migawanyo ya yalioyomo (yalioandikwa na XML markup) na utoaji (ulioandikwa na CSS) wa mahati. CSS unaweza kutumika kwa kufafanua na kubadilisha karibu sura zote za hati, kama rangi, ukubwa/aina ya fonti, njia za maandishi, ukubwa/nafasi ya maelementi, na kadhalika.

CSS pia inaweza kutumika kwa kustawisha upatikanaji wa mahati. Na unapeana ujanja kwa kuonyesha XML markup sawa kwa njia tofauti, umeboreshwa kwa bidhaa tofauti, kama wasomaji wa skrini, visakuzi vinavyosema, maprinta, na bidhaa za hisi ya mashiko (Braille kwa wasioona).

CSS ya Ukuu wa Joomla!

Joomla inapeana sifa nyingi kwa madarasa na vitambulisho katika pato la HTML. Zinaweza kutumika kwa kubadilisha mawakilisho kupitia mafafanuo ya CSS kwa madarasa na vitambulisho kama ilivyosemwa.